KIPA WA PENALTI AREJEA SIMBA

KIPA mwenye rekodi ya kuokoa penalti kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Ayoub Lakred hatua ya makundi ndani ya kikosi cha Simba amerejea kazini baada ya adhabu yake kukata hivyo kuna uwezekano wapinzani wao Jwaneng Galaxy wakakutana naye. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca ugenini aliokoa penalti dakika…

Read More

MOST WANTED KASINO| MISTARI 50 YA MALIPO..

Tunakuletea mchezo mpya wa kasino Mtandaoni unaoendelea katika Magharibi ya Kusini. Na katika mchezo huu, msako umetangazwa, lakini si kwa vichwa vilivyotekwa, bali kwa bonasi za kasino zenye kuvutia. Ni juu yako tu kujiunga kutafuta ushindi. “Most Wanted” ni mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa Amigo. Katika mchezo huu, utapata bonasi kubwa. Kuna malipo ya…

Read More

AZAM FC WANA JAMBO LAO

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Yusuph Dabo amesema kuwa wanatambua ushindani ni mkubwa watazidi kupambana kwa kuwa wana jambo lao kila mchezouliopo mbele yao wakihitaji kufanya vizuri. Azam FC kwenye mechi mbili mfululizo iliambulia sare ilikuwa dhidi ya Tabora United na Tanzania Prisons. “Tupo imara kwenye mechi ambazo tunacheza na malengo yetu ni kuona kwamba…

Read More