AL AHLY DHIDI YA YANGA NI USIKU WA KISASI

Ligi ya mabingwa barani Afrika itaendelea leo ambapo ichezo kadhaa itapigwa katika viwanja viwili tofauti ambapo mchezo mmoja utapigwa nchini Misri, Huku mwingine ukipigwa pale nchini Algeria.

Vilabu vinne ambavyo ni Yanga, Al Ahly, Medeama Fc, na CFR Belouzdad ndio vitaingia dimbani leo kukipiga katika kundi D, Huku mabingwa wa kubashiri Meridianbet wamemwaga ODDS KUBWA na za kutosha sana pale kwenye tovuti yao.

Kundi hili tayari limeshapa wawakilishi wa Robo fainali ya michuano hiyo kwani mchezo utakaopigwa nchini Algeria hautaathiri chochote katika msimamo wa kundi hilo, Huku mchezo utakaotupiwa macho ni ule utakaopigwa pale Cairo nchini Misri.

Mchezo utakaopigwa pale Cairo baina ya Al Ahly dhidi ya mabingwa wa Tanzania klabu ya Yanga ambapo mchezo huu ndo utatoa taswira ya nani atakwenda kuongoza kundi D, Kwani mpaka sasa Ahly wana alama 9 ambapo klabu ya Yanga wao wana alama 8.

 

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Klabu ya Yanga wakifanikiwa kupata matokeo ya ushindi leo ugenini ni wazi watakua na alama 11 na kukwea kileleni mwa msimamo wa kundi hilo, Huku wakiwaacha Al Ahly wakibaki na alama zao 8 lakini wakati huo huo matokeo ya ushindi au sare kwa Al Ahly yatakua faida kwao kwani wataendelea kukaa kileleni mwa msimamo.