JIBWEDE NA MKWANJA WA MECHI ZA EUROPA LEO

Mambo vipi mteja wa meridianbet? Je unajua kuwa hapa ndio sehemu sahihi za wewe kusuka jamvi lako na kuanza kubashiri mechi zako kwa ODDS KUBWA na machaguo mengi zaidi?. Leo AC Milan, AS Roma, Benfica wote hao na wengine uwanjani unakosaje pesa sasa? Tukianza na mechi ya Benfica Lisbon dhidi ya Toulouse FC, kwanza mechi…

Read More

MAOKOTO NJE NJE LEO KUPITIA UEFA CONFERENCE LEAGUE

Utaratibu wa kuhakikisha wateja wa Meridianbet wanapiga mkwanja utaendelea leo ambapo michezo mbalimbali ya Uefa Conference itaendelea, Huku michezo hiyo ikipewa ODDS KUBWA ili kumuwezesha mteja kupiga mkwanja. Michezo ambayo itapigwa leo katika viwanja mbalimbali itakua imepewa ODDS nzuri kwenye tovuti ya Meridianbet, Hivo ni nafasi kwa mteja kuweza kujipigia maokoto kupitia michezo itakayopigwa leo….

Read More

AZAM FC YAZITAKA POINTI TATU ZA GEITA GOLD

MATAJIRI wa Dar Azam FC wanazipigia hesabu pointi tatu za Geita Gold kuelekea mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Februari 16 Uwanja wa Azam Complex. Yusuph Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC mchezo wake uliopita ilikuwa ni kiporo ambapo waligawana pointi mojamoja na Simba. Katika mchezo huo baada ya dakika…

Read More

SIMBA YATUMA UJUMBE HUU KWA WAJEDA JKT TANZANIA

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita Simba ilikuwa ugenini ilivuna pointi tatu dhidi ya Geita Gold kwa bao la Babacarr Sarr dakika ya 81 kwenye mchezo huo akitumia pasi…

Read More

KIPA WA KAZI AREJEA YANGA

KIPA wa kazi ndani ya Yanga Djigui Diarra amerejea ndani ya kikosi hicho baada ya kuwa kwenye majukumu mengine ya timu ya taifa. Tayari Diarra ambaye ni kipa namba moja wa Yanga yupo kambini na kikosi hicho baada ya kuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa lake la Mali iliyoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa…

Read More