WAKIWA kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng uongozi wa Simba umebainisha kuwa maandalizi yapo vizuri na imani kubwa ni kupata ushindi wa aina yoyote kukamilisha mpango wa kutinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika