AZAM FC NGOMA NZITO, MASHUJAA WAKOMBA DHAHABU
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameambulia pointi moja ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons ikiwa ni mzunguko wa pili. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Sokoine umesoma Tanzania Prisons 1-1 Azam FC. Ni Samson Mbangula alianza kupachika bao mapema dakika ya 5 likawekwa usawa na Fei Toto dakika…