Kwapua Mkwanja wa Meridianbet Jumamosi ya Leo

 

Jumamosi za leo nyasi mbalimbali kwenye ligi tofauti zitawaka vilivyo, huku kila timu ikihitaji kukusanya pointi tatu za muhimu ili kuendelea kujikita kwenye nafasi nzuri za msimamo wa ligi. Nani ni nani leo. Ingia meridianbet na utandike jamvi lako.

Darubini yangu inaanza kumulika ligi ya  EPL ambapo pale Old Trafford Manchester United baada ya kushinda mechi nne mfululizo leo hii atakipiga dhidi ya Fulham ambao wapo nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi. Ten Hag anahitaji ushindi nyumbani. Je mgeni anaweza kumzuia kwa ODDS 4.41 kwa 1.67?. Jisaji hapa.

Nae AFC Bournemouth ambaye yupo nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi atacheza na bingwa mtetezi wa ligi Manchester City  ambaye yupo nafasi ya pili. Pep kushinda ugenini leo kapewa ODDS 1.40 kwa 6.66. Beti yako unaiweka wapi hapa?

Kiwanja kingine ambacho kutakuwa na mtanange wa moto ni pale Villa Park ambapo Aston Villa atakiwasha dhidi ya Nottingham Forest. Mara ya mwisho kukutana mgeni alishinda. Je leo hii Unai na vijana wake watalipa kisasi?. Bashiri mechi hii ambayo imepewa ODDS 1.57 kwa 5.29.

Arsenal chini ya Arteta baada ya kupoteza mchezo wa ligi ya mabingwa, leo hii watakuwa pale Emirates kumenyana dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe, huku mara za mwisho kukutana, The Gunners walipoteza. Mechi hii imepewa ODDS 1.34 kwa 7.84. Suka mkeka wako hapa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

BUNDESLIGA kuendelea leo hii pia Borussia Monchengladbach baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo atacheza dhidi ya Bochum ambaye alishinda mechi yake iliyopita. 2.00 na 3.38 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi lako hapa sasa.

Vijana wa Thomas Tuchel Bayern Munich ambao walipoteza mchezo uliopita, dhidi ya RB Leipzig ambao wapo nafasi ya tano kwenye ligi. Mara ya kwanza walipokutana

msimu huu walitoshana nguvu. 1.66 kwa 4.41 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri kijanja hapa.

VFB Stuttgart ambaye yupo nafasi ya 3 kwenye ligi, atakipiga dhidi ya FC Cologne ambaye yupo nafasi mbaya kwenye msimamo wa ligi akishikilia nafasi ya 16. Mwenyeji alishinda mechi iliyopita na mgeni alipoteza. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet.

Kule LALIGA mechi kibao kurindima leo FC Barcelona baada ya kutoa sare ligi ya mabingwa mechi iliyopita, kwenye ligi leo hii atakuwa mwenyeji wa Getafe ambaye ametoka kutoa sare mechi iliyopita. Meridianbet wamempa Xavi na vijana wake ushindi mechi hii kwa ODDS 1.40 kwa 6.66. Wewe beti yako unampa nani?

Ne Diego Simeone na Atletico yake watakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya UD Almeria ambaye yupo nafasi ya 20 kwenye msimamo. Mara ya mwisho kukutana Atletico alishinda. Almeria ana ODDS 4.60 kwa 1.70. Karata yako unaitupa wapi wapi hapa?

SERIE A itaendelea kwa mechi kadhaa ambapo saa 11:00 Sassuolo Calcio atamualika Empoli ambapo timu hizi tofauti kati yao ni mbili. Mwenyeji amepoteza mechi yake iliyopita huku mgeni yeye akitoa sare. 2.23 na 3.19 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.

Huku US Salernitana atakichapa dhidi ya AC Monza ambapo mwenyeji wake yupo nafasi ya 20 na mgeni yupo nafasi ya 11. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Arechi huku mechi ya mwisho walionana Monza alishinda. Nani kushinda leo?

Majira ya saa 4:45, Genoa atakuwa uso kwa uso dhidi ya Udinese huku tofauti ya pointi kati yao ni 10. Mwenyeji kushinda mechi hii amepewa ODDS 2.29 kwa 3.43. Sare ndio matokeo za mwisho timu hizi zilipokutana. Leo nani kuwa mbabe. Beti sasa.

LIGUE 1 ya Ufaransa kutakuwa na mechi mbili pekee ambapo ni Lorient dhidi ya Nantes huku timu hizi zikiwa hazitofautiani sana kwenye ligi. Yani mmoja ni wa 15 na mwingine wa 16. Mwenyeji amepewa ODDS 2.79 kwa 2.65. Je Mwenyeji atalipa kisasi baada za mechi ya kwanza kupoteza. Suka jamvi lako sasa na mechi hii.

Mechi nyingine itakuwa ni kati za mwenyeji Strasbourg dhidi ya Stade Brest ambaye amekuwa na kiwango bora sana msimu huu akiwa wa pili. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 hku mara za mwisho kuonana walitoka sare. Je nani kujishindia na kunyakua pointi zote tatu?. Ingia na ubeti sasa.