FRED V GUEDE BADO WANAJITAFUTA HUKO

KAZI imeanza ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kila mchezaji kupambania kuonyesha uwezo wake uwanjani huku kukiwa na vita kubwa kwenye upande wa washambuliaji kuonyesha uwezo wao. Baada ya mechi za hivi karibuni mastaa wa Simba na Yanga kila mmoja alikuwa na kazi ya kufanya ni Michael Fred wa Simba na Joseph Guede mwamba wa Yanga ambapo kila mtu anajitafuta.