>

Suka jamvi Lako na Mechi za UEFA Leo

UEFA leo hii inaendelea kwa mechi mbili pekee kule Italia na Uholanzi ambapo timu hizo zitakuwa zikichuana vikali kuwania hatua ya kufuzu Robo Fainali ya ligi za mabingwa. Na wewe una nafasi ya kuwa bingwa leo. Ingia meridianbet na ubashiri mechi hizo.

Mechi yenye ODDS KUBWA na za kibabe itakuwa ni hii kati ya  PSV Eindhoven kutoka Uholanzi dhidi ya Borussia Dortmund kutoka kule Ujerumani. Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi kubwa ya kuondoka na pointi zote 3 kwa ODDS 2.14 kwa 3.14.

PSV ndio kinara wa ligi ya Eredivisie huku Dortmund wao chini ya kocha mkuu wakiwa nafasi ya 4 kule Bundesliga baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana timu hizi ilikuwa mwaka 2017 ambapo ilikuwa mechi ya kirafiki na Terzic na vijana wake kipindi hiko walishinda.

Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Je ni BVB au PSV?. Jisajili na ubeti hapa.

Huku Inter Milano atazichapa dhidi ya Atletico Madrid ambayo itapigwa saa 5:00 usiku huku Inter akiwa ndiyo mwenyeji wa mchezo huu. Mchezo huu utapigwa katika dimba la Giuseppe Meazza huku nafasi za kushinda mechi hii akipewa Inzaghi na vijana wake kwa ODDS ya 1.75 kwa 4.80 kushinda mechi hii.

Meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Simone Inzaghi ndio vinara wa ligi kule Serie A baada ya kuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo huku Atletico yeye akishika nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi hadi sasa.

Inter ameshachukua kombe hili mara 3 huku Diego Simeone akiwa bado hajachukua kombe hilo mpaka sasa. Inter ni wanafainali wa UEFA ambao walimenayan na City na kupoteza. Je msimu huu anaweza fika wapi?. Je atafanya nini leo hii nyumbani kwake akiwa na wachezaji kama kina Lautaro Martinez, Barella, Thuram na wengine wengi.