Mchezo Mpya wa Poker Watambulishwa Meridianbet Kasino

Unapotembelea kasino ya mtandaoni ya Meridianbet bila shaka huwa unakutana na michezo mingi ya Poker na kasino lakini mchezo wa All Aces Poker bado unabaki kuwa miongoni mwa michezo ya kuvutia zaidi kwa wapenzi wa kasino ya mtandaoni. JISAJILI NA MERIDIANBET kama bado ili usipitwe na mchezo huu.

 

Kutoka kwa watengenezaji wa michezo Microgaming, wameshusha chuma kipya kinaitwa All Aces Poker na mambo kadhaa ya kipekee ikilinganishwa na michezo mingine ya video poker. Zaidi ya hayo, utapata fursa ya kuongeza kila ushindi kwa msaada wa bonasi ya Kamari/Gamble.

 

Kitu pekee unachopaswa kufahamu kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni kwamba, mchezo unachezwa kwa pakiti za kadi 52. Kwa hivyo, hakuna joka katika toleo hili la mchezo wa poker.

 

Unaweza kuweka dau hadi sarafu tano (Coin) wakati wa mchezo. Jumla ya dau kwa kila mzunguko unategeme na kiwango unachotaka kuweka, lakini thamani yake inaendana idadi ya sarafu.

 

Michezo ya Bonasi

 

Unaweza kucheza Kamari/Gamble kila ushindi unaoupata katika Kasino ya mtandaoni ya All Aces Poker, isipokuwa ushindi wako unapofikia kiwango cha juu cha malipo wakati wa mzunguko mmoja.

 

Lengo la kamari ni kuchagua moja ya kadi zilizobaki kati ya tano ambapo moja inakuwa wazi na iwe na thamani kubwa kuliko kadi iliyo wazi. Unaweza kucheza kamari mara kadhaa mfululizo.

 

Ikiwa kadi zitakuwa na thamani sawa, unaweza kujaribu tena. Unaweza kucheza kamari hadi ufikie kiwango cha juu cha malipo kwa mzunguko mmoja wa kasino ya mtandaoni.

 

Kama ilivyo katika malipo mengine ya video poker, mchanganyiko wa kushinda wa chini kabisa ni jozi moja. Lakini, hata hivyo, mchezo huu una tofauti kidogo na mengine. Unapopata jozi ya jack au kadi zenye thamani kubwa zaidi, basi utapata ushindi.

 

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz