SportsKIUNGO WA KAZI AMEWAINGIZA VITANI YANGA NA SIMBA Saleh10 months ago01 mins INAELEZWA kuwa kiungo wa kazi rasta Awesu Awesu yupo kwenye rada za mabosi wa Yanga ambao wanahitaji saini yake pia anatajwa kuwindwa na Simba kwa ajili ya kuwa naye wakati ujao kwenye eneo hilo nyota huyo ambaye yupo ndani ya KMC. Post navigation Previous: SIMBA WAIFUATA ASEC MIMOSAS USIKU, AYOB LAKRED, ONANA OUTNext: HII HAPA SABABU YA YANGA KUJA NA PACOME DAY