SportsAMEJUMUISHWA CHAMA KWENYE ORODHA YA WALIOPEWA MASHARTI MAZITO Saleh10 months ago10 months ago01 mins MWAMBA wa Lusaka, Clatous Chama amejumuishwa kwenye orodha ya nyota wa Simba ambao wamepewa masharti mazito katika kutimiza majukumu yao ndani ya timu hiyo iliyo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara Post navigation Previous: AUCHO KWA MIKATO YA KIMYAKIMYA ANA BALAANext: TABORA UNITED WATUMA UJUMBE HUU AZAM FC