Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Clement Mzize alionekana akiingia uwanjani na kutoa taulo golini kwa Dodoma Jiji kwenye mechi ambayo Yanga ilishinda bao 1-0
Kwa kosa hilo Mzize atalipa faini Tsh Milioni moja
Kwa kosa hilo Mzize atalipa faini Tsh Milioni moja