Klabu ya Yanga imetozwa faini ya Tsh milioni moja kwa kosa la mashabiki wake watatu (3) kuonekana kwenye eneo la vyumba vya kuvalia kuelekea mchezo wake dhidi ya Tanzania Prisons uliomalizika kwa Yanga kushinda 2-1 katika dimba la Sokoine. kinyume na taratibu za mchezo.