KOCHA WA CHELSEA KUCHUKUA MIKOBA YA XAVI BARCELONA

Kocha wa zamani wa Chelsea Thomas Tuchel ambaye kwa sasa anainoa Bayern Munich yupo kwenye orodha ya makocha wanaopigiwa upatu kuchukua mikoba ya Xavi Hernandez kunako klabu ya Barcelona.

Itakuwa mnamo Januari 27, 2024 kufuatia kipigo cha 5-3 dhidi ya Villarreal, Xavi alifichua kuwa ataondoka Barcelona mwisho wa msimu huu.