
JKT TANZANIA YAPOTEZA POINTI NYUMBANI MBELE YA SIMBA
WAKIWA ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara wameshuhudia ubao wa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ukisoma JKT Tanzania 0-1 Simba ukiwa ni mzunguko wa kwanza. Simba inakomba pointi tatu na kufikisha pointi 36 kibindoni baada ya kucheza mechi 15 sawa na watani zao wa jadi Yanga kwenye upande wa mechi ndani ya ligi. Nafasi ya…