>

WAKAZI WA MWENGE WAFIKIWA NA MERIDIANBET

Kampuni kubwa za ubashiri Tanzania Meridianbeti ikiwa na machaguo zaidi za 1000, imeendelea kurudisha kile kidogo wakipatacho kwenye jamii huku safari hii wakiwaangalia wakazi wa eneo la Mwenge hasa dereva bodaboda, bajaji na wasimamizi wa maegesho za magari.

Je unajua ni kwanini meridianbet  hurudisha kwenye jamii mara zote? Basi mimi nakumegea siri hii leo ni kwasababu wanajali wananchi kwa kile kidogo ambacho wanakipata kila siku na kujua kuwa kuna makundi za watu mbalimbali wanahitaji msaada kutoka kwao, hivyo na wewe leo hii suka mkeka wako mapema na ubashiri hapa.

Meridianbet walitembea kugawa Reflectors kwa boda boda, Dereva bajaji na hata kwa wale wasimamizi wa maegesho za magari katika maeneo mbalimbali lakini safari hii wameamua kuwageukia bodaboda wa Mwenge kwani eneo hilo kubwa na limekua kwa kiasi kikubwa na wapo sana.

Reflectors hizo zitawasaidia kuwakinga na ajali hasa nyakati za usiku kwani mara nyingi ajali hutokea nyakati hizo kutokana na watu wengi kuwa na mwendo mkali na kutozingatia alama za barabarani, lakini pia hiyo itawasaidia wao kuonekana kwa urahisi wakiwa wamezivaa.

Meridianbeti magwiji wa ODDS KUBWA Tanzania hii ni mara ya wanakwambia hivi Jumamosi za leo ndio siku pekee za wewe kujipigia mkwanja wako kwa kubashiri mechi zako uzitakazo na kuchagua machaguo sahihi. Kule EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA, kitawaka hasa. Suka mkeka wako na uweke jamvi lako sasa.

Ikiwa ni mwendelezo wa zoezi hilo la Ugawaji wa vifaa hivyo kwa madereva na Wasimamizi wa Maegesho, Leo wamewafikia madereva hao katika eneo la Mwenge ikiwa eneo hilo ni eneo mojawapo kubwa katika usafirishaji jijini Dar es salaam.

Zoezi hilo lilianza asubuhi kabisa ambapo timu ya meridianbet walifurahia mapokezi ambayo waliyapata kwa wakazi wa Mwenge kwani ujio wao ulikuwa wa faida kwa dereva bodaboda na bajaji kwani Reflectors zina faida sana kwa watuamiaji wa vyombo vya barabarani.

Nancy Ingram alisema kuwa, “Tunathamini sana Usalama wa Barabarani ndio maana tunagawa vifaa hivi kwa Madereva na Wasimamizi wa Maegesho ili kuweza kuhakikisha usalama wao hasa wakati wa majukumu yao ya kazi”

Baada za kupokea vifaa hivyo madereva hao waliishukuru sana Meridianbet kwa msaada huo na kuwaambia watu kuwa watumie meridianbet kufanya ubashiri kwani wao wameonyesha kuwajali wananchi ambao kwa namna moja hutumia kampuni hiyo kufanya ubashiri.

Vilevile meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rocketman, na Sloti kwa dau dogo tuu upige mkwanja wa maana.