MIPANGO ya 2023/24 imekuwa hivyo kwa timu zote Bongo ikiwa ni Yanga, Simba, Azam FC ambazo zimefanya maboresho katika timu hizo ndani ya usajili wa dirisha dogo. Wapo ambao wamepewa mkono wa asante huku wengine wakiendelea kubaki ndani ya timu hizo kwa ajili ya kuendelea na changamoto mpya.