USAJILI wa dirisha dogo Januari 15 usiku ulifungwa ambapo timu kadhaa zimetambulisha nyota wao wapya kwa ajili ya kuwa ndani ya changamoto mpya msimu wa 2023/24.
Hapa tunakuletea baadhi ya nyota waliotambulishwa ndani ya timu shiriki Ligi Kuu Bara namna hii:-
Geita Gold
Erick Mwijage kutoka West Armenia.
Mtibwa Sugar
Jimmyson Mwanuke alikuwa ndani ya Simba
Nasoro Kapama alikuwa ndani ya Simba
Shabani Msala alikuwa Ihefu kwenda Mtibwa
Charles Ilanfya alikuwa Ihefu kwenda Mtibwa
Mashujaa
Erick Johora ni mlinda mlango alikuwa Geita Gold atakuwa ndani ya Mashujaa
Mapinduzi Balama kutoka Coastal Union
Reliants Lusajo- Namungo kwenda Mashujaa FC
Emmanuel Mtumbuka kutoka Stand United
David Ulomi-Moloka Swallows kwenda Mashujaa
KMC
Shaban Chilunda alikuwa ndani ya Simba
Abdallah Lanso-Mlandege
Akram Mhina alikuwa KVZ
Namungo
Meddie Kagere alikuwa ndani ya Singida Fountain Gate.
Ayoub Semtawa- huru kwenda Namungo.
JKT Tanzania
Shiza Kichuya alikuwa Namungo
Simba
Boubacar Sarr alikuwa mchezaji huru kwenda Simba
Omar Jobe
Salehe Karabaka-kutoka KVZ
Ladack Chasambi- kutoka Mtibwa
Fredy Michael mshambuliaji raia wa Ivory Coast
Ihefu
Manu Lobota kutoka FC Lupopo
Abubakar Khomeiny alikuwa Singida Fountain Gate.
Yanga
Augustine Okrah- Bechem
Shekhan Ibrahim- kutoka JKU
Joseph Guede raia wa Ivory Coast
Azam FC
Franklin Navaro
Yeison Fuentes
Mohamed Mustapha
Tanzania Prisons