Tusua Mpunga wa Maana Mechi 3 za AFCON Leo
Jumatatu ya leo mechi 3 za AFCON zitapigwa na wewe kama mteja wa meridianbet huu ndio muda sahihi wa kusuka jamvi lako kwani mechi ya mapema inaanza muda mchache ujao hivyo weka pesa yako kwenye akaunti yako na utengeneze jamvi lako la maana leo. Mechi nyingi za leo zina pesa sana hasa ukizingatia unaweza ukachagua…