AFCON KUENDELEA KUTIMUA VUMBI LEO

Michuano ya mataifa ya Afrika maarufu kama AFCON kuendelea kutimua vumbi leo huko nchini Ivory Coast na timu kadhaa leo zitashuka dimbani kutafuta alama tatu muhimu kwajili ya kufuzu hatua inayofuata.

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet hawataki uangalie AFCON kinyonge, Kwani wamekuwekea Odds za kutosha katika michezo ambayo itapigwa leo hivo ni wewe tu mteja wao kuweka mkeka na kupiga mkwanja.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako. utakua ni mchezo wa pili kukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada ya kukutana 

Mabingwa wa muda wote wa michuano hiyo timu ya taifa ya Misri leo watashuka dimbani kumenyana na timu ya taifa ya Msumbiji kwenye mchezo wao wa kwanza wa kundi B, Huku Misri mabingwa mara nyingi zaidi wa michuano hiyo wakipewa nafasi zaidi ya kushinda mchezo huo.

Mchezo mwingine utakaopigwa leo katika michuano mikubwa kabisa ya soka barani Afrika ni mchezo wa kundi A, Ambapo timu ya taifa ya Nigeria mabingwa mara tatu wa michuano hiyo watamenyana na timu ya taifa ya Equatorial Guinea katika mchezo mkali utakaopigwa katika dimba la Allasane Quattara.

Pale kundi utapigwa mchezo mwingine ambao utawakutanisha mabingwa mara nne wa michuano ya mataifa ya Afrika timu ya taifa ya Ghana watacheza dhidi ya timu ya taifa ya Cape Verde, Huku timu ya taifa ya Ghana wakipewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda mchezo huo japokua Cape Verde nao wana kikosi kizuri cha kuweza kuleta ushindani.

Mabingwa wa michuano ya kubashiri kampuni ya Meridianbet nao hawatakua nyuma kwani watahakikisha wewe mteja wao unafanikiwa kupiga mkwanja kupitia ambapo watamwaga ODDS KUBWA na za kutosha katika michezo ya michuano hiyo, Huku wakiwa  ambapo wamekuja na kampeni yao inakuambia KAPU LA AFCON NGOMA INOGILEEEEE.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia na uweke mkeka wako.