AFCON KUENDELEA KUTIMUA VUMBI LEO

Michuano ya mataifa ya Afrika maarufu kama AFCON kuendelea kutimua vumbi leo huko nchini Ivory Coast na timu kadhaa leo zitashuka dimbani kutafuta alama tatu muhimu kwajili ya kufuzu hatua inayofuata. Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet hawataki uangalie AFCON kinyonge, Kwani wamekuwekea Odds za kutosha katika michezo ambayo itapigwa leo hivo ni…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE BATA BATANI

BAADA ya kuondolewa katika Mapnduzi 2024 katika hatua ya robo fainali dhidi ya Simba, Singida Fountain Gate wameweka shida chini na kuwapa ruhusa wachezaji kula bata kwa mapumziko mafupi. Ipo wazi kuwa Januari 10 ubao ulisoma Singida Fountain Gate 1-1 Simba kwenye penalti ilikuwa Singida Fountain Gate 2-3 Simba na timu hiyo ikagotea hatua ya…

Read More

AMEPEWA ONYO NYOTA WA SIMBA

AMEPEWA onyo nyota wa Simba na benchi la ufundi ambalo lipo chini ya Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha kuhusu kazi na nidhamu kwenye kikosi hicho ambacho kimegotea nafasi ya pili kwenye Mapinduzi 2024 kwa kushuhudia ubao ukisoma Mlandege 1-0 Simba.

Read More

YANGA: HAKUKUWA NA TIMU YA KUIZUIA MLANDEGE

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa alitabiri tangu awali kuwa Mlandege walikuwa na nafasi ya kutwaa taji la Mapinduzi 2024 kwa mara nyingine tena. Ipo wazi kuwa Januari 13,2024 ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex ilikuwa Mlandege 1-0 Simba na taji likabaki Zanzibar. Bao pekee la ushindi lilipachikwa dakika ya 54…

Read More

JEMBE LA BENCHIKHA LACHIMBA MKWARA MZITO

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Muivory Coast, Aubin Kramo ametaja siku atakayorejea kuichezea timu hiyo, huku akiahidi kuifanyia makubwa. Kiungo huyo yupo nje ya uwanja muda akiuguza majeraha ya goti ambayo alifanyiwa operesheni. Nyota huyo alifanyiwa operesheni hiyo nchini Afrika Kusini baada ya Madaktari kushauri. Akizungumza na Championi Jumamosi, Kramo alisema kuwa rasmi anatarajiwa kurejea uwanjani…

Read More

NGOMA AMKUNA BENCHIKHA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Simba, Mualgeria Abdelhak Benchikha amefunguka kukoshwa na kiwango cha nyota wake, Fabrice Ngoma huku akisema kuwa amekuwa na msaada mkubwa kwa timu hiyo jambo ambalo kwake kama mwalimu anavutiwa nalo. Ngoma ambaye amesajiliwa na Simba akitokea katika klabu ya Al Hilal ya Sudan, ni moja kati ya wachezaji wenye uhakika wa kucheza…

Read More