SHINDA KAPU LA AFCON NA MERIDIANBET, FURSA YA KUPIGA MKWANJA

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wanakukaribisha wewe mteja wao katika michuano ya mataifa Afrika kwa mwaka 2024 yanayofahamika kama AFCON ambapo utapata fursa ya kupiga mkwanja.

Leo ndio michuano ya AFCON itafunguliwa rasmi ambapo wenyeji wa michuano hiyo timu ya taifa ya Ivory Coast watacheza na timu ya taifa ya Guinnea- Bissau na mchezo huu imepewa Odds nzuri pale Meridianbet.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako. utakua ni mchezo wa pili kukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada ya kukutana Michuano ya mwaka huu ambayo itaanza kutimua vumbi leo itahusisha timu 24 kutoka katika bara la Afrika ambazo zilifanikiwa kufuzu michuano hii, Huku makundi yakigawanywa kufikia sita kuanzia kundi A mpaka kundi F.

Timu 12 zitapatikana katika kila kundi ili kutengeneza timu 16 ambazo zitacheza hatua ya 16 bora, Hivo katika makundi sita zitapatikana timu mbili kundi kwa maana ya timu 12, Huku zitafutwa timu nyingine nne kama best loser katika makundi yote sita ili kutimiza timu 16.

Tangu michuano ya Afcon ianzishwe mwaka 1957 imefanikiwa kutoa mabingwa 15 yaani nchi tofauti tofauti 15 zimeshafanikiwa kutwaa ubingwa wa AFCON, Huku bingwa wa muda wote akiwa timu ya taifa ya Misri maarufu kama Pharaos wakiwa wametwaa ubingwa huo mara saba.

Rekodi nyingine kuhusiana na michuano hii mikubwa kabisa ya soka barani Afrika kwa upande wa timu za taifa ambapo mshambuliaji wa timu ya Cameroon Samuel Eto’o Fills anaendelea kushikilia rekodi ya mfungaji bora wa muda wote wa michuano hiyo akiwa na mabao 18.

Mabingwa wa michuano ya kubashiri kampuni ya Meridianbet nao hawatakua nyuma kwani watahakikisha wewe mteja wao unafanikiwa kupiga mkwanja kupitia michuano ya AFCON ambapo wamekuja na kampeni yao inakuambia KAPU LA AFCON NGOMA INOGILEEEEE.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia na uweke mkeka wako.