KITAWAKA LEO NEWCASTLE UNITED DHIDI YA VIJANA WA PEP GUARDIOLA

Meridianbet inakupa nafasi ya kukwapua mpunga wa maana leo hii ukibashiri mechi za leo kwenye ligi zozote kama vile Epl  na zingine amabzo zinatarajia kutimua vumbi huku ukiwa tayari umewekewa ODDS za kibabe na machaguo ya kutosha kazi inabaki kwako tuu.

Jumamosi ya leo farasi ananipeleka hadi pale Uingereza katika ligi kuu yani EPL ambapo kutakuwa na michezo miwili wa mapema zaidi ni huu wa Chelsea dhidi ya Fulham ambapo utapigwa katika dimba la Stamford Bridge na nafasi ya kuchukua pointi 3 anazo Pochettino na vijana wake akiwa na ODDS 1.60 kwa 5.29. Bashiri sasa.

Utamu mwingine wa Ligi kuu ya Uingereza utakuwa ni kati ya vijana wa Ediie Howe Newcastle United dhidi ya vijana wa Pep Guardiola Manchester City, majira ya saa 2:30 usiku. Mechi ya mkondo wa kwanza Pep Guardiola na vijana wake waliondoka na ushindi mwembamba. Eddie Howe kushinda mechi hii amepewa ODDS 5.09 kwa 1.59. Wewe beti yako unaiweka wapi?

Ukiachana na michezo ya Ligi meridianbet pia inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Ligi ya Ujerumani, BUNDESLIGA nayo kama kawaida litakufa jitu ambapo leo hii katika dimba la Red Bull Arena, RB Leipzig atakipiga dhidi ya Eintracht Frankfurt ambaye yupo nafasi ya 6. Mara ya mwisho walipoonana RB alishinda. Nani kuibuka na ushindi leo? Beti sasa.

Union Berlin atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya SC Freiburg huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 11. Mwenyeji amepewa ODDS 2.07 kushinda mechi hii huku mgeni akipewa 3.43. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Huku kinara wa ligi Bayer Leverkusen atakuwa mgeni wa FC Augsburg  ambaye amepewa ODDS 6.66 kushinda leo hii. Vijana wa Alonso ,mechi ya kwanza walipasuka. Leo watalipa kisasi?

Mechi ya mwisho leo hii Ujerumani ni hii inayowakutanisha Borussia Dortmund dhidi ya SV Darmstadt ambaye ndiye kibonde wa ligi. Borussia kushinda na ODDS 1.52 kwa 5.29. Suka jamvi  hapa.

Kivumbi kingine kitakuwa kule LALIGA, ambapo kutakuwa na mechi za pesa kule meridianbeti UD Las Palmas atakuwa mwenyeji wa Villarreal huku wote wakiwa wamepoteza mechi zao zilizopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 6. Bashiri na meridianbet sasa.

Huku saa 2:30 Athletic Bilbao watakiwasha dhidi ya Real Sociedad San Sebastian, huku ushindi wa mwenyeji utampleka hadi nafasi ya 3. Bilbao amepewa ODDS 2.02 kwa 3.87. Suka jamvi lako sasa.

Usiku kabisa wa leo hapa nazungumzia saa 5:00, Real Betis ambaye yupo nafasi ya 7 atakuwa mwenyeji wa Granada ambaye yupo nafasi ya 19. Mgeni kwenye mechi ambazo kacheza kashinda mbili pekee. Je leo ataambulia nini? Mechi hii imepewa ODDS 1.67 kwa 4.80. Jisajili  Sasa.

SERIA A, nayo itatimua vumbi ambapo saa 11:00 jioni bingwa mtetezi Napoli ambaye amekuwa hana mwenendo mzuri atakuwa pale Diego Armando Maradona atakiwasha dhidi ya US Salernitana  ambao ndio vibonde wa ligi. Wote wametoka kupoteza mechi zao zilizopita. Nani leo kuondoka na pointi 3? Beti sasa.

Saa 2:00 naye Hellas Verona ataumana na Empoli FC huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1. Walipokutana mara ya mwisho Verona alishinda. Je mgeni kulipa kisasi leo? Suka mkeka wako na meridianbet.

Mechi kumaliza Jumamosi itakuwa ni ile ya kinara wa ligi Inter Milano dhidi ya AC Monza ambaye amepewa ODDS 6.66 kwa 1.46. Milana nataka ushindi huu leo azidi kujiimarisha kileleni. Je Mwenyeji atamzuia?. Tandika jamvi lako sasa.

Ligi ya Ufaransa nayo LIGUE 1 kitawaka haswa ambapo AS Monaco atakiwasha dhidi ya Stade Reims huku mechi hii ikipewa ODDS nono sana. Ingia na ujionee nani anakupatia mkwanja leo. Mechi ya mwisho kukutana, Monaco alishinda. Beti sasa.

Huku saa 5:00 usiku kutakuwa na mechi ya Stade Rennes dhidi ya OGC Nice ambaye kapewa ODDS 3.09 kwa 2.36. Tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 16. Mwenyeji yupo nafasi ya 10 na mgeni wa 2. Suka mkeka wako kijanja hapa.