KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MLANDEGE FAINALI

 KIKOSI cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza mchezo wa fainali Kombe la Mapinduzi 2024 dhidi ya Mlandege kipo namna hii:- Ayoub Lakred Shomari Kapombe Israel Mwenda Kazi Che Malone Fabrince Ngoma Luis Miquissone Babacar Sarr Moses Phiri Saido Ntibanzokiza Willy Onana Akiba Ally Salim Abel Duchu Kennedy Hamis Karabaka Chasambi Baleke

Read More

WAKALI WA KAZI WANAKUTANA FAINALI 2024

LEO ni leo kwa wakali kwenye mapigo ya penati kukutana kwenye mchezo wa hatua ya fainali ya Mapinduzi 2024 , Zanzibar. Ipo wazi kwamba ni Mlandege ambao ni mabingwa watetezi dhidi ya Simba wenye shauku ya kutwaa taji hilo na rekodi zinaonyesha kwamba timu zote zilitinga hatua ya fainali kwa kushinda kwa penati katika hatua ya…

Read More

HUYU HAPA CHAGUO LA KWANZA SIMBA

 KOCHA Mkuu wa Simba, Abdlehakh Benchika humwambii kitu kwa kiungo wa kazi Fabrince Ngoma ambaye hana jambo dogo kwenye majukumu yake ndani ya uwanja. Ipo wazi kuwa Simba Jnuari 13 wanatarajia kucheza fainali dhidi ya Mlandege ambapo kwenye mechi zote tano ambazo walicheza tatu za makundi, moja robo fainali na moja hatua ya nusu fainali,…

Read More

ASEC YATOA MASHARTI ILI… SANKARA ASAINI YANGA

KLABU ya Asec Mimosas ya Ivory Coast imekubali kufanya mazungumzo rasmi na Yanga kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wake, Sankara Karamoko mwishoni mwa msimu huu. Hata hivyo mazungumzo hayo ya kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 yatalenga zaidi usajili wa dirisha kubwa na sio hili dogo. Kwa mujibu wa chanzo kutoka Yanga kimeliambia…

Read More

MSHAMBULIAJI HUYU YANGA ANASEPA

INAELEZWA kuwa nyota wa Yanga, Cripin Ngush ambaye ni mshambuliaji atakuwa ndani ya uzi wa Coastal Union ya Tanga kwenye kupambania nafasi kikosi cha kwanza. Ipo wazi kwamba mshambuliaji huyo mzawa ambaye aliibuka ndani ya Yanga akitokea Mbeya Kwanza hana nafasi kikosi cha kwanza. Alipata zali la kuanza kikosi cha kwanza kwenye baadhi ya mechi…

Read More

NYOTA HAWA WANA BALAA WAKIWA UWANJANI

NDANI ya Ligi Kuu Bara kuna miamba ambao wana juhudi kwa kuwa namba moja kwenye rekodi tofautitofauti. Ni Aziz KI huyu anakipiga Yanga ni namba moja kwa watupiaji wa mabao akiwa nayo 10 na ni kinara kwa watupiaji wakitumia mguu wa kushoto na mkali wa mapigo huru. Saido Ntibanzokiza ni mkali wa penalti yupo zake…

Read More

MAPINDUZI CUP FAINALI LEO NI LEO

JANUARI 13 leo ni leo ambapo Michuano ya Mapinduzi Cup inafikia tamati kwa mechi ya fainali kupigwa Mabingwa watetezi ambao ni Mlandege kucheza na Simba SC ambao wametinga hatua ya fainali 2024. Ni bao la Fabrince Ngoma lilileta nongwa dakika za lala salama na kupelekea mikwaju ya penalti. Singida Fountain Gate 2-3 Simba kwenye penalti…

Read More