>

LUIS KAZI YAKE IPO HIVI MAPINDUZI 2024

KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone ni habari nyingine ndani ya Mapinduzi 2024 kutokana na kuwa na zali la kuhusika kwenye miguso iliyoleta mabao katika timu hiyo. Ni pasi tatu za mabao  katoa na kufunga bao moja. Januari Mosi dhidi ya JKU alifanya kweli kwa kutengeneza pasi mbili za mabao ile ya kwanza alimpa Moses Phiri dakika…

Read More

GAMONDI AFUNGA HESABU YANGA, KUFANYA MAAMUZI MAZITO

HUKU zikiwa zimesalia siku sita kabla ya kufungwa kwa doirisha dogo la usajili wa timu zilizo chini ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ametangaza kuwa ametumia mashindano ya Kombe la Mapinduzi kufanya tathimini ya kikosi chake na sasa kuna maamuzi mazito yatatolewa hivi karibuni. Yanga imeondolewa katika hatua ya…

Read More

HAALAND ANAIRUDISHA DUNIA NYUMA

Wakati wengi wakiamini dunia inaenda mbele na mambo yamebadilika lakini mtu mmoja ameweza kufanikiwa kuirudisha dunia nyuma, Huku pia dunia ikikubali kuishi ndani ya dunia ya mtu huyo sio mwingine ni Earling Haaland. Katika ulimwengu ambao wengi wanaamini mshambuliaji anapaswa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja kama kufunga, uwezo wa kuiunganisha timu katika eneo la…

Read More

TAIFA STARS KAMILI KWA AFCON

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ipo tayari kwa ajili ya AFCON 2023 inayotarajiwa kufanyika Ivory Coast ambapo tayari imeshawasili kwa ajili ya maandalizi ya mwisho. Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ameweka wazi kuwa kila mchezaji yupo tayari na wanaamini watafanya vizuri kwenye mechi ambazo watacheza. Stars ilifanya mazoezi Stade Auguste Denis…

Read More