UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuhusu uwepo wawachezaji wenye uwezo mkubwa katika kikosi hicho zikiwa ni silaha zao za kazi za kupambania ushindi. Ipo wazi kwamba Yanga imeogotea katika hatua ya robo fainali Mapinduzi 2024 imerejea Dar kwa maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika.