>

NI MADRID DERBY HAPA REAL MADRID PALE ATLETICO MADRID MOTO UTAWAKA

Usiku wa leo moto utawaka katika dimba la Al-Awwal nchini Saudia Arabia ambapo itapigwa derby ya Madrid ambapo klabu ya Real Madrid itakipiga dhidi ya mahasimu wao klabu ya Atletico Madrid katika mchezo wa Spanish Super Cup.

Mtanange huu licha ya kua mkali na wenye kuburudisha lakini Meridianbet hawatakuacha kinyonge, Kwani kupitia kipute hichi wamehakikisha unaweza kujishindia mkwanja kutokana na odds walizoweka katika mchezo huu.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mchezo huu wa Madrid Derby utakua ni mchezo wa pili kukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada ya kukutana kwenye mchezo wa ligi kuu ya Hispania na klabu ya Real Madrid ilipoteza mchezo huo kwa mabao matatu kwa moja.

Mchezo wa leo utafanikiwa kutoa mwanafainali wa Spanish Super Cup kwa mwaka 2024, Kwani leo nusu fainali ya kwanza na nusu fainali ya pili itapigwa kesho kati ya klabu ya Osasuna dhidi ya mabingwa watetezi klabu ya Fc Barcelona.

Mchezo huu licha ya kua nusu fainali lakini pia ikumbukwe ni wa mahasimu wakubwa kutoka jiji la Madrid na mchezo huu mara nyingi hua unakua wenye ushindani mkubwa kwelikweli kutokana na uhasimu uliopo baina ya vilabu hivi viwili.

Real Madrid na Atletico Madrid unaweza kua mchezo wa kisasi leo kwani Real Madrid wataingia katika mchezo huu wakifikria kulipiza kisasi baada ya kupoteza katika mchezo wa ligi kuu msimu huu, Ateletico nao hawatakua wanyonge kwani wamekua moja ya klabu bora msimu huu.

Mchezo huu umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet kwa timu zote mbili ambapo wewe mteja wa Meridianbet unaweza kuweka mkeka wako na kupiga mkwanja wa kutosha kupitia mchezo huu.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia na uweke mkeka wako.