YANGA: SISI BADO TUPO
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa bado upo imara kwa ajili ya mashindano mengine licha ya kufungashiwa virago kwenye Kombe la Mapinduzi 2024. Ipo wazi kuwa Yanga iligotea hatua ya robo fainali baada ya kushuhudia ubao ukisoma Yanga 1-3 APR FC. Watakuwa mashuhuda wa fainali ya Mapinduzi 2024 wakiwa kwenye ardhi ya Bongo. Katika mechi…