WAMEANZA 2024 wakiwa ni namba moja baada ya kufunga kwa mtindo wao 2023 kwenye mechi za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo imekuwa na ushindani mkubwa kwa kila timu kuwa na jambo lake kwenye msako wa pointi tatu na rekodi ambazo zitakuwa hesabu mwisho wa msimu.