AKAUNTI ZAO ZINASOMA WAKATI HUU WA JANUARI

IKIWA ni Januari kukiwa na mambo mengi yakufanya yaliyojipanga kwa umakini na yote yakihitaji mkwanja kuna wanafamilia ya michezo wao Januari kwao imeanza na kicheko kwa kukunja mkwanja mrefu kutokana na kazi yao ya kuvuja jasho uwanjani. Hapa tunakuletea baadhi ambao wamefanya vizuri ndani ya Mapinduzi 2024 wakikunja mkwanja kibindoni kutoka kwa wadhamini, hivyo tu basi