
VIDEO; CHEKI AZIZ KI, YAO VITUKO VYAO UWANJANI
MASTAA wa Yanga, Aziz KI, Yao, Pacome ni miongoni mwa nyota wanaofanya kazi kubwa ndani ya uwanja ambapo wamekuwa na vituko kadhaa kwenye uwanja na wakiwa uwanjani wanapiga kazi kwelikweli
MASTAA wa Yanga, Aziz KI, Yao, Pacome ni miongoni mwa nyota wanaofanya kazi kubwa ndani ya uwanja ambapo wamekuwa na vituko kadhaa kwenye uwanja na wakiwa uwanjani wanapiga kazi kwelikweli
KUELEKEA kwenye mchezo wa nusu fainali ya Mapinduzi 2024 Kocha Msaidizi wa Singida Fountain Gate, Nizar Khalfan amesema wanaamini mchezo wao dhidi ya Simba hautakuwa mwepesi ila wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi. Ipo wazi kuwa walipokutana kwenye mchezo wa hatua ya makundi ubao ulisoma Simba 2-0 Singida Fountain Gate hivyo wanakwenda kukutana kwa mara nyingine tena Januari…
ULE muda wa wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania kufanya kweli na kupata matokeo kwenye mechi za ushindani ni sasa kwa kuwa mashindano ya AFCON yapo mbele yao huku ushindani ukitarajiwa kuwa mkubwa kwa timu zote. Kwa namna ambavyo kila timu inahitaji ushindi imani kubwa hata kwa wachezaji wa Stars nao pia hesabu kubwa…
Nasikia kuna watu wamepagawa sana na mchezo wa AVIATOR yani huwaambii kitu, lakini kuna michezo mingi sana ya kupiga hela kirahisi kama huu mchezo wa matunda 81 Vegas Magic kutoka Meridianbet Kasino ya Mtandaoni unalipa mtonyo kila sekunde na bonasi kibao. 81 Vegas Magic ni SLOTI ya kupiga pesa kasino mtandaoni iliyotengenezwa na mtoa huduma…
WAMEANZA 2024 wakiwa ni namba moja baada ya kufunga kwa mtindo wao 2023 kwenye mechi za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo imekuwa na ushindani mkubwa kwa kila timu kuwa na jambo lake kwenye msako wa pointi tatu na rekodi ambazo zitakuwa hesabu mwisho wa msimu.
MSHAMBULIAJI wa Simba Jean Baleke kwenye kutimiza majukumu yake Mapinduzi 2024 alifunga bao pekee dakika ya 45+3 ambalo limekuwa ni ngazi kwa Simba kutiga hatua ya nusu fainali Mapinduzi 2024. Januari 10 2024 inakwenda kupigwa nusu fainali ya kibabe kwa miamba hawa wawili ambapo Singida Fountain Gate wameweka wazi kuwa hawapo kinyonge tena. Ikumbukwe kwamba mchezo…
KLABU bora Bongo Azam FC kwa mara nyingine tena wamekwama kufurukuta mbele ya Singida Fountain Gate katika Kombe la Mapinduzi kwa kuwa ni mara ya pili kufungashiwa virago na timu hiyo. Ikumbukwe kwamba Januari 8 2023 ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma Azam FC 1-4 Singida Fountain Gate katika hatua ya robo fainali zama hizo…
BENCHIKHA amvuta mbadala wa Chama, Gamondi atoa kauli ya kibabe Yanga SC ndani ya Spoti Xtra Jumanne
IKIWA ni Januari kukiwa na mambo mengi yakufanya yaliyojipanga kwa umakini na yote yakihitaji mkwanja kuna wanafamilia ya michezo wao Januari kwao imeanza na kicheko kwa kukunja mkwanja mrefu kutokana na kazi yao ya kuvuja jasho uwanjani. Hapa tunakuletea baadhi ambao wamefanya vizuri ndani ya Mapinduzi 2024 wakikunja mkwanja kibindoni kutoka kwa wadhamini, hivyo tu…