USAJILI wa dirisha dog unaendelea ambapo kila timu ipo sokoni kusaka wachezaji ambao inawahitaji kumalizana nao kwa ajili ya kuwa ndani ya timu kwa msimu wa 2023/24 ambao una ushindani mkali. Kama mambo yatakuwa sawa miongoni mwa nyota wanaotajwa kuibukia mitaa ya Kariakoo ni pamoja na Simon Msuva, Edwin Balua.