Ukiwa na ndoto nyingi sana, kuna baadhi ya ndoto ambazo unatakiwa kutimiza na hili linawezekana kabisa kwa msaada wa uwepo wa kampuni bora ya ubashiri nchini Tanzania meridianbet ambayo inakupatia kile ambacho unakitaka wewe kwa wakati maalumu. Namaanisha machaguo zaidi ya 1000, Tubro cash, na mengine kibao. Bashiri sasa hapa mechi za FA Uingereza.
Tukianza na Tottenham Spurs wao watakuwa wenyeji wa Burnley ya Kompany ambao bado hawajajipata hadi sasa toka wapande ligi kuu. Nafasi ya kushinda mchezo huu amepewa Spurs ya Ange wakiwa na ODDS 1.40 kwa 6.07. Nani kuondoka na pointi 3 leo? Ingia mchezoni na ubashiri kishua hapa.
Huku katika dimba la Gtech Community, Brentford chini ya kocha mpya watakuwa wenyeji wa Wolvehampton Wonderers huku walipoonana mara ya mwisho kwenye ligi, Wolve alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 2.50 kwa 2.74. Beti sasa mechi hii.
Pia Meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Poker, Roullette na mingine kibao ya sloti kwa dau dogo tuu uweze kukwapua maokoto ya nwezi huu wa Januari. Ingia mchezoni na ucheze.
Chelsea chini ya kocha mkuu Mauricio Pochettino watakuwa Stamford Bridge kucheza dhidi ya Preston North End ya Championship. Nafasi ya kuondoka na ushindi amepewa The Blues akiwa na ODDS 1.15 kwa 12.74. Beti hapa.
Huku Middlesbrough FC wao watakuwa wenyeji wa vijana wa Unai Emiry Aston Villa ambao ni moja kati ya timu ambazo zinafanya vyema sana kwa sasa kwenye ligi kuu wakiwa nafasi ya pili mpaka sasa. Kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.52 kwa 5.09. Beti sasa.
West ham United ya David Moyes nao wanasema wanalitka Kombe hili ambapo wao watakuwa pale London Stadium kuzichapa dhidi ya Bristol City ambao wamepewa ODDS 6.66 kushinda mechi huku Wagonga nyundo wa London wao wakipewa 1.37. Tengeneza jamvi lako hapa.
Fulham ya ligi kuu atakiwasha dhidi ya Rotherham United ambayo inashiriki ligi daraja la kwanza ambapo inashikilia mkia kwenye msimamo wa ligi baada ya kushinda mechi 3 kwenye michezo 26 aliyocheza. Mechi hii imepewa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.
Millwall atakuwa mwenyeji wa Leicester City ambaye ndiye kinara wa ligi daraja la kwanza (Championship) huku mwenyeji akiwa nafasi ya 15. Mechi hii imepewa ODDS 1.80 kwa 3.72. Jisajili na ucheze.
Naye Sunderland ataumana dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe ambao walianza ligi vizuri lakini kwasasa wanasuasua wakiwa nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi. Je kesho wanaweza kupata ushindi wakiwa nyumbani kwao? Suka jamvi lako mapema leo.
Bournemouth FC watakuwa ugenini dhidi ya Queens Park Rangers ambayo ipo Championship wakiwa wamepewa ODDS 5.48 na mgeni akipewa 1.45. QPR yupo nafasi ya pili kutoka mwisho kwenye msimamo huku Bournemouth akiwa wa 12 EPL. Je nani ni nani hapo kesho?
Wakati huo huo Stoke City atazichapa dhidi ya Brighton ya Roberto De Zerbi ambao kushinda wamepewa ODDS 1.50 kwa 5.29. Mechi hii ina machaguo mengi zaidi meridianbet. Ingia sasa na ubeti.