SportsAMELETA MGOMO HUKO KIUNGO LUIS Saleh11 months ago01 mins KIUNGO wa Simba Luis ambaye kiwango chake kimeporomoka kutokana na kutocheza kwa muda mrefu inaelezwa kuwa yupo kwenye mpango wa kuwekwa kando. Inatajwa kwamba Simba mpango wao ni kumtoa kwa mkopo kwenye moja ya timu ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara Post navigation Previous: AGGY SIMBA: YANGA HAWATAKI CHAMA AONDOKE SIMBANext: UANZE MWAKA WAKO KIBINGWA NA MERIDIANBET