AGGY SIMBA: YANGA HAWATAKI CHAMA AONDOKE SIMBA

AGGY Simba ameweka wazi kuwa miongoni mwa wanaopenda kuona Clatous Chama anabaki ndani ya kikosi cha Simba ni watani zao wa jadi jambo ambalo linajulikana sababu. Aggy Simba ameweka wazi kuwa wanawachezaji wazuri ambao wanapewa nafasi na usajili ambao unafanyika kwa sasa hivyo watafanya usajili mzuri ambao utakuwa imara

Read More

TAIFA STARS NDANI YA MISRI TAYARI KWA KAZI

JANUARI 2 2024 Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imewasili salama jijini Cairo, Misri kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa na Afcon 2023. Mashindano hayo makubwa yanatarajiwa kuanza Januari 13 hadi Februari 11 nchini Ivory Coast. Taifa Stars   imepangwa kundi “F” ikiwa na Morocco, Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…

Read More

OKRA KUANZA KAZI RASMI YANGA

BAADA ya kukamilisha usajili wa winga Mghana, Augustine Okra leo anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachoanza kucheza kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2024. Okra alizua gumzo kwenye mchezo wa funga mwaka 2023 kwa Yanga dhidi ya Jamhuri ambapo baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma Jamhuri 0-5 Yanga. Leo Yanga inatarajiwa…

Read More

INGIZO JIPYA SIMBA LIMEANZA NA BALAA

UKIWA ni mchezo wake wa kwanza akiwa na kikosi cha Simba, Saleh Karabaka alifungua ukurasa wake wa mabao katika Mapinduzi Cup 2024. Ingizo hilo jipya dirisha dogo alikuwa anakipiga JKU hivyo alianza kazi mbele ya mabosi wake wa zamani akisaini dili la miaka mitatu. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma JKU 1-3 Simba ambapo ni…

Read More