
ANACHOMOLEWA MTU WA KAZI NDANI YA SIMBA NA WAARABU
INAELEZWA kuwa mtu wa kazi ndani ya kikosi cha Simba Henock Inonga yupo kwenye hesabu za kusajiliwa na Waarabu ambao wanahitaji huduma yake na kuweka dau kubwa mezani kuinasa saini ya nyota huyo ambaye ni chaguo la kwanza upande wa ulinzi ndani ya Simba.