ANAKUWA MCHEZAJI WA KWANZA KUTAMBULISHWA UNYAMANI

INAELEZWA kuwa Simba ipo kwenye mpango mkubwa wa kufanyia maboresho kikosi hicho ambapo inakwenda kuongeza viungo na washambuliaji.Miongoni mwa nyota ambaye anatajwa kupewa dili la miaka mitatu ni kutoka viunga vya Mtibwa Sugar Chasambi. Ikiwa dili lake litakamilika atakuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa unyamani.