SHINDA MKWANJA WA SHILINGI 200,000,000 NA MERIDIANBET SIKUKUU HII

Hupaswi kukaa kinyonge kipindi hichi cha sikukuu kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wanahakikisha unakua moja ya watu watakaoifurahia sikukuu kwa kupiga mkwanja wa kutosha. Kupitia michezo mbalimbali ambayo itakwenda kupigwa leo katika ligi kuu ya Uingereza kampuni ya Meridianbet imemuwekea mteja wake Odds nzuri, Hivo mteja atatakiwa kuweka mkeka wake tu…

Read More

NMB YATOA ZAIDI YA MILIONI 200 KOMBE LA MAPINDUZI

BENKI ya NMB imetoa zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya zawadi za mashindano ya kombe la mapinduzi  Zanzibar na Traki suti  150 kwa ajili ya kuvaa kwenye matembezi siku ya Mapinduzi. Fedha hizo kwa ajili ya bingwa  ambaye atazoa shilingi milioni 100 mshindi wa pili milioni 70, pamoja na medali za mabingwa na…

Read More

BALEKE, NTIBANZOKIZA KUKUTANA NA BALAA HILI SIMBA

MASTAA wa Simba kwenye upande wa ushambuliaji ikiwa ni Jean Baleke, John Bocco na viungo Saido Ntibanzokiza watakutana na balaa la Kocha Mkuu, Abdlehak Benchikha kutokana na kushindwa kuzitumia nafasi ambazo walizipata kwenye mechi dhidi ya KMC. Desemba 23 ikiwa ni mchezo wa mwisho kwa Simba ndani ya 2023 katika Ligi Kuu Bara walishuhudia ubao…

Read More

TIMU SITA ZENYE SAFU KALI YA USHAMBULIAJI BONGO

WAKATI mwingine tena umefika ikiwa ni maalumu kwa ajili ya kufungua zawadi kwa ndugu jamaa na marafiki kwa lugha ya kigeni ni Happy Boxing Day kwenye anga za michezo kuna wale waliotoa zawadi mapema kwa kufunga mabao mengi. Hapa tunakuletea timu sita ambazo zinasafu kali kwenye upande wa ushambuliaji namna hii:- Azam FC mabao 35…

Read More

WAKUSANYA MAPATO NAO SIO KINYONGE

WAKUSANYA mapato wa Kinondoni sio kinyonge ndani ya 2023 licha ya kuanza msimu kwa kuwa timu iliyotunguliwa mabao mengi ikiwa ugenini. Ipo wazi kwamba mchezo wa kwanza kwa timu kufungwa mabao mengi ilikuwa ni ule uliowakutanisha Yanga 5-0 KMC mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Inafunga 2023 ikiwa kwenye tano bora na mchezo wake uliopita…

Read More

ANAKUWA MCHEZAJI WA KWANZA KUTAMBULISHWA UNYAMANI

INAELEZWA kuwa Simba ipo kwenye mpango mkubwa wa kufanyia maboresho kikosi hicho ambapo inakwenda kuongeza viungo na washambuliaji.Miongoni mwa nyota ambaye anatajwa kupewa dili la miaka mitatu ni kutoka viunga vya Mtibwa Sugar Chasambi. Ikiwa dili lake litakamilika atakuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa unyamani.

Read More