>

SIMBA NA KMC ZAPIGANA MKWARA WA POINTI TATU

WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara Desemba 23 Uwanja wa Azam Complex wababe kutoka Dar wamepigana mikwara. Ni KMC watawakaribisha Simba kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili. Abdihamid Moallin Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa wanatambua ugumu uliopo lakini wanapaswa kuamini kwamba watapata…

Read More

KOCHA KAGERA SUGAR AKUTANA NA MKONO WA ASANTE

UONGOZI wa Kagera Sugar umeweka wazi kuwa umefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Mecky Maxime aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Maxime mchezo wake uliopita ilikuwa ni Desemba 21 ambapo alishuhudia ubao wa Uwanja wa Kaitaba ukisoma Kagera Sugar 0-4 Azam FC. Unakuwa ni mchezo wa tatu kupoteza baada ya kuanza kushuhudia Coastal Union 1-0…

Read More

YANGA YAPIGA HESABU NDEFU BONGO

HESABU ndefu za Yanga ndan kutwaa ubingwa ambao upo mikononi mwao waliotwaa msimu wa 2022/23. Chini ya Miguel Gamondi Yanga ilitoka kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kinara wa utupiaji wa mabao ni Aziz KI ndani ya Yanga na ligi kiujumla akiwa katupia mabao 9 kibindoni…

Read More

AZAM FC YAZIDI KUPETA BONGO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamezidi kupeta kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kutokana na kuendeleza kasi ya ushindi kwenye mechi ambazo wanachea. Desemba 21 ikiwa ugenini iliibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao Kagera Sugar. Pointi tatu walizopata Azam FC dhidi ya Kagera Sugar zinawazidi kuwafanya wajikite nafasi ya kwanza katika msimamo wa Ligi…

Read More

AMEACHIWA HUKUMU BOSI HUYU KUHUSU LUIS

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wanafikiria kuachana na kiungo wao Luis ambaye alijiunga na timu hiyo kwa mara nyingine akitokea Al Ahly ya Misri kutokana na kutokuwa chaguo la kwanza ndani ya timu hiyo. Kwa sasa ambacho kinatajwa ni majadiliano na benchi la ufundi pamoja na mchezaji mwenye kama atarejea kwenye ubora

Read More

YANGA KUFANYA KAZI KUBWA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa utafanya kazi kubwa kufanikisha malengo ya kutwaa ubingwa ambao upo mikononi mwao waliotwaa msimu wa 2022/23. Chini ya Miguel Gamondi Yanga ilitoka kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kinara wa utupiaji wa mabao ni Aziz KI ndani ya Yanga na ligi…

Read More

SIMBA MATUMAINI KIBAO LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Ndoto ya kucheza nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika ni ndoto ambayo klabu ya Simba wamekua wakiiota kila siku, Lakini ilionekana kuingia wasiwasi kutokana na mwanzo wao katika michuano hiyo msimu huu. Baada ya ushindi wa mabao mawili kwa bila walioupata katika uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumanne umeibua matumaini upya kwa klabu…

Read More