ANATAJWA kuwa kwenye hesabu za kuibukia ndani ya Simba kiungo wa kazi Farid Mussa kutokana na mkataba wake ambao aliongeza kutarajiwa kugota mwisho 2024. Bado hakujawa na mazungumzo ya kuongeza mkataba wake ndani ya kikosi cha Yanga hivyo anaweza kupata nafasi ya kuibukia Simba kwa watani za jadi wa Yanga.