Mabingwa wa Afrika, Al Ahly wamesukumizwa nje ya michuano ya klabu Bingwa Dunia kufuatia kipigo cha 2-0 dhidi ya Mabingwa wa Amerika ya Kusini)CONMEBOL), Fluminense.
FT : Fluminense ?? 2-0 ?? Al Ahly SC
⚽️ Jhon Arias 70’
⚽️ John Kennedy 90’
Beki wa zamani wa Real Madrid, Marcelo alikuwa sehemu ya kikosi cha vigogo hao wa Brazil.
Fluminense wametinga fainali ambapo watachuana na mshindi kati ya Manchester City dhidi ya vigogo wa Japan Urawa Red Diamonds.