>

MWENDO WA YANGA NA SIMBA CAF MAMBO MAGUMU

MWENDO wa wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga na Simba haujawa kwenye ubora kutokana na kushindwa kupata matokeo chanya ndani ya uwanja. Kuna watembeza mikato ya kimyakimya ambapo wachezaji wa timu hizo walionyeshwa kadi za njano. Kuna kazi kubwa inapaswa kufanywa na wawakilishi wa Tanzania kimataifa.