NGUVU YA AZAM FC YAGEUZWA HUKU

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa baada ya kupata matokeo kwenye mechi zao za ligi sasa wanageukia kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC). Azam FC mchezo wake uliopita wa ligi ilishinda kwa mabao 2-1 JKT Tanzania inakibarua  na Alliance ya Mwanza, kwenye raundi ya pili ya michuano hiyo. Mchezo huo unachezwa…

Read More

YANGA WAIVUTIA KASI MEDEAMA CAF

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao ni kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana. Huo ni mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali wakiwa wamecheza mechi tatu na kukusanya pointi mbili kibindoni. Desemba 20 Yanga wanatarajiwa kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa baada…

Read More

HIVI NDIVYO NAMNA SIMBA ITAKAVYOTUSUA CAF

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa njia pekee itakayowapeleka katika hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ni kushinda mechi zote za nyumbani kurejesha hali ya kujiamini zaidi. Ipo wazi kuwa baada ya kucheza mechi tatu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo ni dakika 270, Simba haijaambulia ushindi ndani ya uwanja. Ilipoteza…

Read More

MWENDO WA YANGA NA SIMBA CAF MAMBO MAGUMU

MWENDO wa wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga na Simba haujawa kwenye ubora kutokana na kushindwa kupata matokeo chanya ndani ya uwanja. Kuna watembeza mikato ya kimyakimya ambapo wachezaji wa timu hizo walionyeshwa kadi za njano. Kuna kazi kubwa inapaswa kufanywa na wawakilishi wa Tanzania kimataifa.

Read More

GAMONDI AENDELEZA UBABE BONGO

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameendeleza ubabe wake kwa kushuhudia wachezaji wake wakiibuka na ushindi wa mabao 4-1 Mtibwa Sugar. Kwenye mchezo uliochezwa Desemba 16 Uwanja wa Azam Complex, Yanga walipeta na kukomba pointi tatu mbele ya Mtibwa Sugar wakiendeleza ubabe wao kwenye ligi. Mabao ya Yanga yalifungwa na Aziz KI ambaye alifunga mabao…

Read More