Kumekua kukitolewa misaada mbalimbali katika maeneo tofauti tofauti lakini leo hii Meridianbet wameamua kwenda kutoa msaada kwa madereva Bajaji wa maturubai ambayo yatawawezesha kufanya shughuli zao za kila siku vizuri.
Utamaduni wa kuhakikisha wanarudisha kwa jamii yao inayowazunguka umedumu kwa miaka na miaka na leo walioneemeka ni madereva Bajaji katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar-es-salaam waliopewa maturubai hayo.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Lengo kubwa la Meridianbet kutoa msaada wa maturubai kwa madereva Bajaji ni kuhakikisha wanafanya kazi yao vizuri, Kwani maturubai hayo yatawasaidia kuwakinga na mvua pamoja na jua katika shughuli zao za kila siku.
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram ambaye ndio aliongoza zoezi hilo alisema “ Tunayo furaha kubwa kufika hapa na kutoa msaada wa maturubai kwenu kwani tunaaamini vifaa hivi vitakwenda kuwasaidia katika kutimiza majukumu yenu ya kila siku”
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Mbali na mkuu wa kitengo na mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet kuzungumza na madereva Bajaji juu ya msaada walioutoa, Lakini moja ya madereva aliweza kueleza furaha yake juu ya msaada walioupata kwa kusema “Tunashukuru sana uongozi wa Meridianbet kwa kufika hapa na kutupatia vifaa hivi kwani maturubai haya yatatusaidia kutukinga na mvua na jua katika shughuli zetu za kila siku”