KWENYE mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru kazi ni kubwa kwa timu zote mbili kusaka pointi tatu muhimu.
Dakika 45 za mwanzo Simba wanafanikiwa kupata bao la kuongoza na wanarejea kipindi cha pili kukamilisha ngwe ya dakika 45 ubao ukisoma Simba 1-0 Kagera Sugar kipindi cha pili Sadio Kanoute akaongeza bao la pili Bocco akapachika moja dakika ya 90.
Saido Ntibanzokiza kiungo wa Simba amefunga bao la kuongoza dhidi ya Kagera Sugar mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanna wa Mkapa dakika ya 44.
Kagera Sugar wanakata nguzo zote za Simba upande wa viungo huku umakini kwa Simba kumalizia nafasi ukiwa mdogo.
Miongoni mwa nafasi ya dhahabu ni Ile aliyoipata Che Malone dakika ya 50 akapaisha ndani ya 18 kwenye mchezo huo,