MOTO UTAWAKA KUNDI F LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO

Moto unakwenda kuwaka leo katika ligi ya mabingwa ulaya leo haswa kwenye kundi F ambalo wengi waliamua kuliita kundi la kifo kutokana na ugumu ambao upo kwenye kundi hilo na Meridianbet hawako nyuma kwani wametoa ODDS KUBWA kwenye michezo hiyo. Kundi F linaundwa na timu kama PSG, Newcastle United, Ac Milan, na Borussia Dortmund ambapo…

Read More

KIMATAIFA KAZI KUBWA IFANYIKE, INAWEZEKANA

SIO Yanga wala Simba kwenye anga la kimataifa hakuna mwenye kazi nyepesi kutokana na mechi zao wote kuwa ngumu katika hatua ya makundi. Tumeshuhudia namma mechi za kimataifa wapinzani walivyo wagumu na mechi ni ngumu. Hii inatokana na aina ya wachezaji pamoja na timu husika kuwa na mipango kazi ofauti na ile ambayo imezoeleka kwenye ligi ya…

Read More

MASTAA HAWA YANGA HABARI NYINGINE KIMATAIFA

MASTAA wa Miguel Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi wakiongozwa na Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli, Kennedy Musonda ni habari nyingine. Nyota hao ushirikiano wao umekuwa na matokeo chanya katika mechi mbili zilizopita za Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo ni dakika 180 nyumbani na ugenini. Katika mchezo…

Read More

KAGERA SUGAR HASIRA KWA SIMBA

KLABU ya Kagera Sugar inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwa mechi zake za nyumbani hasira zake kwa sasa ni kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Simba.  Kagera Sugar inatarajiwa kusaka pointi tatu mbele ya Simba Desemba 15 katika msako wa pointi tatu muhimu. Desemba 9 Kagera Sugar walishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ukisoma Coastal…

Read More

BOSI SIMBA AMEFAFANUA NAMNA WATAKAVYOTUSUA CAF

AHMED Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa bado kuna nafasi ya timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali licha ya matokeo ambayo hayajawa mazuri kwao. Kwenye mechi tatu ambazo Simba imecheza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika imeambulia pointi mbili ikipoteza mchezo mmoja jambo ambalo linaongeza ugumu kwa timu…

Read More