SINGIDA Fountain Gate imegawana pointi mojamoja na KMC kàtika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Desemba 11.
Ni Uwanja wa Black Rhino mchezo huo umechezwa kwa timu zote kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.
Baada ya dakika 90 ubao umesoma Singida Fountain Gate 0-0 KMC.