>

;IGI YA MABINGWA AFRIKA: MEDEAMA 1-1 YANGA

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika dakika 45 ubao wa Uwanja wa Baba Yara Sports unasoma Medeama 1-1 Yanga ikiwa ni dakika 45 za mwanzo.

Medeama walianza kupata bao kwa mkwaju wa penalti dakika ya 27 kupitia Kwa Jonathan likawekwa usawa na Pacome Zouzoua dakika ya 36.

Ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ukiwa ni wa tatu kwa timu zote mbili.

Pia Al Ahly 0-0 CR Belouzdad ambao wote wapo kundi D.