Unaijua 200% inakuaje? Meridianbet msimu huu wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya unapojisajili, ukaongeza salio kwenye akaunti yako kisha kucheza kasino ya mtandaoni au kubashiri soka unapatiwa bonasi ya mgao wa 2,500,000/=TZS
Kila mchezaji aliyejisajili kwenye tovuti ya Meridanbet.co.tz au Meridianbet APP na kuweka pesa kwa mara kwanza kiasi kinachoanzia TZS 10,000 na zaidi kisha kucheza kwenye kasino ya mtandaoni au tiketi sawa na kiwango hicho angalau mara moja (x1 ) atapokea mizunguko 50 ya bure + 200% bonasi ya kasino (kiasi cha juu cha bonasi ni 2,500,000 TZS).
Wachezaji wa soka au kasino ya mtandaoni lazima kucheza pesa zao walizoweka kwa mara ya kwanza ndani ya masaa 72 ya kwanza kutoka wakati wa usajili wao. Ikiwa wataweka baada ya masaa 72, hawatastahili Promosheni hii na pia Tiketi za Turbo Cash hazitahesabiwa kama kiasi kilichochezwa.
Kiasi cha bonasi ya kasino ya mtandaoni kilichopokelewa lazima kichezwe mara 100 kwenye michezo mbalimbali ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet kutoka kwenye ukurasa wa Michezo ya Sloti ili fedha zihamishwe kama pesa halisi kwenye akaunti ya mchezaji.
Ikiwa mchezaji alipokea Bonasi ya Kasino ya Mtandaoni ya TZS 20,000 atahitaji kucheza jumla ya TZS 2,000,000 katika pesa za Kasino ili aweze kuhamisha faida yake kuwa pesa halisi.
Baada ya Bonasi ya Kasino ya Mtandaoni kutumiwa kufikia idadi inayohitajika, kiasi ambacho kitapatikana wakati huo kitaamishwa mara moja kwenye pesa halisi na kitaweza kutumika kuchezea michezo ningine kwenye tovuti ya Meridianbet.co.tz au mchezaji anaweza kukitoa. Dau la juu kwenye mzunguko moja wa kasino ya mtandaoni wakati wa promosheni hii ni TZS 10,000 na bonasi ya juu kutolewa ni TZS 2,500,000/=
Kiwango cha juu utakachoweza kuamishwa kuwa pesa taslimu kutoka kwenye promosheni hii ni TZS 100,000/=