MERIDIANBET YATOA MSAADA TABATA VISIWANI]

Wametembea sehemu nyingine wameenda sehemu tofauti tofauti lakini Meridianbet wakasema hapana awamu hii ni zamu ya Tabata Visiwani ambapo wamefika eneo hilo na kuweza kutoa msaada wa vifaa vya mazoezi kwa timu ya Jogging ya eneo hilo mapema leo. Huu umekua utaratibu wa mabingwa hao wa michezo ya kubashiri kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii ambacho wamekua…

Read More

GEITA GOLD WATOSHANA NGUVU NA DODOMA JIJI

GEITA Gold wamekubali kugawana pointi mojamoja na wapinzani wao Dodoma Jiji kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Nyankumbu baada ya dakika 90 ubao umesoma Geita Gold 2-2 Dodoma Jiji. Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote kuonyesha uwezo kusaka pointi tatu ndani ya dakika 90 za mchezo. Ni Geita Gold walianza kupata…

Read More

YANGA YATAJA UBORA WA WACHEZAJI WA AZAM FC

KUELEKEA Mzizima Dabi, Oktoba 23,2023 uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa wanatambua utakuwa ni mchezo mgumu kutokana na aina ya wachezaji waliopo ndani ya kikosi cha Azam FC.Ali Kamwe, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga amesema kuwa wanatambua aina ya wachezaji watakaokutana nao kwenye mchezo huo kuwa ni bora. “Wapinzani wetu Azam FC…

Read More

MRITHI WA MIKOBA YA MAYELE ANAPAMBANIA KOMBE HUKO

MRITHI wa mikoba ya Fiston Mayele ndani ya kikosi cha Yanga, Kennedy Musonda anapambania kombe kutokana na kuendelea kujitafuta kwenye kufunga ndani ya ligi. Ikumbukwe kwamba Mayele aliyesepa ndani ya kikosi cha Yanga msimu wa 2022/23 alikuwa ni namba moja kwa utupiaji alipotupia mabao 17 kibindoni na kutwaa tuzo ya ufungaji bora. Kwa sasa yupo…

Read More

LIGI ZIMERUDI, KAZIKAZI

Ligi zimerudi wewe tena na mechi kali za kupiga pesa. Ukiweka hata 2+ Kote hukosi hata Refund. Chamsingi ni itafute Milioni 250 bado ipo yakusubiri. Wafuate kwenye mitandao ya kijamii Galsportbettingtz upige hela Ratiba ya Ligi Kuu Bara Namungo v Singida Fountain Gate, Uwanja wa Majaliwa Geita Gold v Dodoma Jiji, Uwanja wa Nyankumbu Ihefu…

Read More

TIMUATIMUA MAKOCHA IZINGATIE NA MIKATABA

MAKOCHA wamekuwa wakipewa mzigo wa lawama pale timu ambapo inashindwa kufanya vizuri. Si vibaya kwa kuwa kila kocha anapewa malengo ya kufanya. Jambo la msingi kuzingatia kwenye suala la kuwapa mkono wa asante ni kuangalia nammna bora ya kukaa na benchi la ufundi kwa muda pamoja na malengo hayo yanavyoweza kufanikiwa. Kitu kikubwa ni kuangalia…

Read More

SIMBA YATOSHANA NGUVU NA AL AHLY

MCHEZO wa African Football League ambao ni wa ufunguzi Simba imetoshana nguvu na Al Ahly. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 2-2 Al Ahly. Mabao ya Simba yamefungwa na Kibu Dennis na Sadio Kanoute huku yale ya Al Ahly yakifungwa na Slim na Kahraba kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani…

Read More

AFRICAN FOOTBALL LEAGUE SIMBA 0-1 AL AHLY

UKIWA ni mchezo wa ufunguzi wa African Football League, mashabiki wa Simba wameshuhudia namna mbinu za Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kikiwa nyuma. Dakika 45 ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma  Simba 0-1 Al Ahly Mtupiaji kwenye mchezo huo ambao una ushindani mkubwa kwa timu zote ni Reda Slim aliyetumia makosa ya safu ya ulinzi ya…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AL AHLY

HIKI hapa kikosi cha Simba dhidi ya Al Ahly, African Football League. Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa ufunguzi kipo namna hii kikosi cha kwanza:- Ally Salim Shomari Kapombe Mohamed Hussein, Che Malone, Mzamiru Yassin Fabrice Ngoma Clatous Chama Kibu Dennis Saido Ntibanzokiza Luis Miquissone

Read More

TIMU 24 KUSHIRIKI AFL MSIMU UJAO

Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe ameweka wazi kuwa msimu ujao kutakuwa na timu shiriki 24 kwenye African Football League ambayo inatarajiwa kufunguliwa rasmi leo Oktoba 20, 2023. Ni ardhi ya Tanzania, Uwanja wa Mkapa umepata fursa ya kuzindua mashindano hayo makubwa ambayo yanafuatiliwa na wengi duniani yakifanyika kwa mara ya…

Read More